Posts

Showing posts from April, 2024

Kuona ni kuamini ; Seeing is believing (Documentary Script) 15th April 2024 Published and All rights reserved here.

Image
Kuona ni kuamini ; Seeing is believing  (Documentary Script) All rights reserved 2019 Episode1 Written by J.M.Samwel, Optometrist  T/A Optsam 2019 Mathayo 6:22 “Jicho ni taa ya mwili. Kama basi jicho lako ni zima, mwili wako wote utakuwa katika mwanga.” Oxford’s language Dictionary  See To perceive with the eyes; discern visually. Believe  To accept that (something) is true, even if you don’t have proof  Optsam : Seeing is believing  Kuona ni kutambua na kukubali kuwa ni kweli sasa.. Idadi ya watu vipofu duniani inaongezeka kwa kasi zaidi kuliko idadi ya watu duniani inavyoongezeka. Angalau watu bilioni 2.2 wana matatizo ya uoni, na kati yao, angalau watu bilioni 1 wana matatizo ya kuona ambayo yanaweza kuzuilika au bado  Samwel John, 26,Tanzanian Optometrist T/A Optsam eye care and optical workshop store ©️2019 (Check Optsam®️ Bio.) Watu wengi wanachagua bila hiari/ bila kufahamu kutoshughulika na afya za macho yao kutokana  na kuh...