🚀👁️ RASMI: ASK OPTSAM IMEZINDULIWA! OFFICIAL WEBSITE & ANDROID APPLICATION LAUNCH
🚀👁️ RASMI: ASK OPTSAM IMEZINDULIWA!
OFFICIAL WEBSITE & ANDROID APPLICATION LAUNCH
Leo, tarehe 22 Oktoba 2026, ninayo furaha kutangaza rasmi uzinduzi wa Ask Optsam — jukwaa la elimu na uhamasishaji wa afya ya macho linalolenga kuwafikia wananchi kupitia teknolojia ya kidijitali.
Mimi ni J.M. Samwel (Optometrist). Uzinduzi huu ni hatua mpya katika safari ya maono niliyoyaanza mwaka 2017: kupanua upatikanaji wa elimu ya afya ya macho, kuhamasisha kinga dhidi ya upofu unaozuilika na kuongeza uelewa kuhusu uoni hafifu.
Katika kipindi ambacho Tanzania inaendelea na jitihada za kuboresha upatikanaji wa huduma za afya na kuelekea Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, ninaamini kuwa elimu sahihi ya afya ni sehemu muhimu ya maendeleo ya jamii.
🌐 TEMBELEA TOVUTI RASMI https://askoptsam-ai-assistant.vercel.app/
📱 PAKUA ASK OPTSAM ANDROID APP https://drive.google.com/file/d/1aM7pkR-9-bb8-yWUFEsTrefG4ktMBjKx/view?usp=drivesdk
Kupitia Ask Optsam, tunalenga kutoa elimu na taarifa za afya ya macho kwa Kiswahili na Kiingereza, bila kujali mahali mtu alipo.
Dhamira yetu: ✅ Elimu ya afya ya macho kwa jamii. ✅ Uhamasishaji wa kinga dhidi ya upofu unaozuilika. ✅ Elimu kuhusu uoni hafifu. ✅ Kuhamasisha matumizi ya huduma stahiki za kitaalamu.
Ask Optsam ni jukwaa lisilo la kibiashara kwa elimu ya afya ya macho. Halichukui nafasi ya uchunguzi au matibabu ya kitaalamu, na si jukwaa rasmi la Serikali.
Optsam was never just a name. It has always been a vision and a journey.
ASK OPTSAM — Seeing Is Believing.
Karibu katika jukwaa letu. Tembelea tovuti, pakua application na shiriki ujumbe huu ili elimu ya afya ya macho iwafikie wengi zaidi.
#AskOptsam #JMSamwel #EyeHealthEducation #AfyaYaMacho #DigitalHealth #DiraYaTaifa2050
🚀👁️ RASMI: ASK OPTSAM IMEZINDULIWA!
🌐 Tovuti rasmi: https://askoptsam-ai-assistant.vercel.app/
📱 Pakua Android App: https://drive.google.com/file/d/1aM7pkR-9-bb8-yWUFEsTrefG4ktMBjKx/view?usp=drivesdk
Ask Optsam — Seeing Is Believing.
Elimu ya afya ya macho kwa kila mtu, popote alipo.
#AskOptsam #JMSamwel #EyeHealthEducation #AfyaYaMacho

Comments
Post a Comment